KanushoKanusho

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Mfuko wa Pembejeo hautakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.

Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Mfuko haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini.

Mfuko wa pembejeo unaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;

  • Haushirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na
  • Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Mfuko, tafadhali wasiliana na nasi kwa barua pepe nfo@agitf.go.tz