Habari


 • Mh.Waziri Ahitimisha Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa
  24
  January
  2017

  Mh.Waziri Ahitimisha Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa

  Serikali imesema kuwa imefuta baadhi ya kodi na tozo ili kuwanufaisha wakulima wote nchini ambao awali walikuwa wakilalamikia na kupinga tozo na kodi hizo kwa madai kuwa zilikuwa zikiwanyonya sio kuwakwamua na wimbi kubwa la umasikini.

  Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dk.... Soma zaidi

 • Mfuko wa pembejeo wazindua tovuti mpya
  21
  January
  2017

  Mfuko wa pembejeo wazindua tovuti mpya

  Mfuko wa pembejeo leo wamezindua tofuti rasmi itakayo tumiwa na wadau mblimbali katika kupata taarifa, Akizungumza katika uzinduzi huo, mkurugenzi wa Mfuko Mama Nkumbi amesema mbele ya vyombo vya habari kwamba tovoti hivo itambulike kama www.agitf.go.tz

  Soma zaidi