Mfuko wa pembejeo wazindua tovuti mpya


Mfuko wa pembejeo wazindua tovuti mpya
21
August
2017

Mfuko wa pembejeo leo wamezindua tofuti rasmi itakayo tumiwa na wadau mblimbali katika kupata taarifa, Akizungumza katika uzinduzi huo, mkurugenzi wa Mfuko Mama Nkumbi amesema mbele ya vyombo vya habari kwamba tovoti hivo itambulike kama www.agitf.go.tz