Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu mradi wa BBT kutoka Mh. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe katika mashamba ya Chinangali Dodoma tarehe 20/03/2023.

Kundi la Vijana wanaotegemea kunufaika na mradi wa BBT kwa awamu ya kwanza wakiwa kwenye shughuli za uzinduzi wa Mradi wa BBT katika mashamba ya Chinangali Dodoma tarehe 20/03/2023.

Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti baada ya uzinduzi wa Mradi wa BBT katika mashamba ya Chinangali Dodoma tarehe 20/03/2023.

Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh. Milion Mia Mbili kwa vijana kwa ajili ya mradi wa BBT tarehe 20/03/2023.

Habari Mpya

    Hakuna Taarifa

Matukio