Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mfuko wa Pembejeo

AGITF Logo
Mkulima Nafuu Loan

MKULIMA NAFUU LOAN

Huu ni mkopo kwa Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 40 na Wanawake wenye umri hadi miaka 65, wanaojishughulisha na shughuli za kilimo.

Sifa za Mkopo;

  • Riba nafuu ya 4.5% kwa mwaka
  • Muda wa rehema (grace period) hadi miezi 6 kulingana na aina ya mradi
  • Muda wa kulipa mkopo hadi miezi 36 kulingana na aina ya mradi
  • Taratibu za marejesho inaweza kuwa kwa mwezi, miezi 3, 6, kwa mwaka mmoja au kwa mkupuo kulingana na aina ya mradi

 

 

General requirement for each applicant:

  1. Application form duly signed by LGA
  2. Business plan
  3. Introduction letter from local leader (place of residence)- VEO, MEO
  4. Introduction letter from local leader (project area) – VEO, MEO
  5. Copy of profoma invoice (where applicable)
  6.  Evidence of farm land ownership.
  7. Tax Identification Number (TIN)
  8. National Identification Authority (NIDA)

Note: Other requirements  will depend on type of loan applicant(refer loan application form)