DIRA
Kuwa kinara chaguo katika kutoa mikopo ya pembejeo na zana kwa riba nafuu kwa wakulima wadogo katika kuitikia wito na mahitaji ya maendeleo ya kilimo Tanzania.
DHAMIRA
Kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wakulima wadogo nchini Tanzania ili kuboresha maisha ya kaya pamoja na usalama wa chakula wa taifa.