Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mfuko wa Pembejeo

AGITF Logo
MAONESHO YA WIKI YA USHIRIKA DUNIANI KITAIFA YAFUNGULIWA
30 Jun, 2023
MAONESHO YA WIKI YA USHIRIKA DUNIANI KITAIFA YAFUNGULIWA

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Mhe. David Silinde amefungua rasmi maonesho ya Wiki ya Ushirika Duniani kitaifa katika Manispaa ya Tabora. Maadhimisho ya Wiki ya Ushirika Duniani kitaifa yanafanyikakwenye viwanja vya Nanenane  Ipuli Manispaa ya Tabora  mkoani Tabora.Kilele cha maadhimisho hayo ni tarehe 1 Julai, 2023 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.