Vitengo


Mfuko wa Pembejeo una sehemu za vitengo vinne;

Kitengo cha Ununuzi

Kinatoa utaalamu, ushauri na huduma kuhusu ununuzi, uhifadhi na ugavi wa bidhaa na huduma kwa Taasisi

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Kinatoa huduma za ushauri kwa Ofisa Masuuli kuhusu usimamizi mzuri wa rasilimali za Taasisi.

Kitengo cha Tehama

Kinatoa huduma za ushauri wa kitaalamu kuhusu mambo yote ya Tehema katika Taasisi.

Kitengo cha Sheria

Kinatoa utaalamu, ushauri na huduma za kisheria kwa Taasisi.