Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mfuko wa Udhamini wa Pembejeo za Kilimo

AGITF Logo
2026-08-02 – Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Makao Makuu ya AGITF
Picha za Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Makao Makuu ya Mfuko wa Udhamini wa Pembejeo za Kilimo (AGITF), iliyofanyika tarehe 2 Agosti 2026 jijini Dodoma na kuongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.).