​Kuomba Mikopo


Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo anawahimiza wananchi kutumia fursa zinazotolewa na Mfuko wa Pembejeo ili kuweza kujikwamua kiuchumi,kufanya kilimo cha kisasa na cha biashara ili kuendana na uchumi wa kati na viwanda.