kuingizwa sokoni kwa bidhaa mpya


Mkurugenz mtendaji wa Mfuko wa pembejeo anautaarifu Uma kwa kuanzia tarehe 01/09/2017 Mfuko utaanza kukopesha fedha kwa ajili ya kununua ardhi kwa matumizi ya kilimo na mifugo.