Barua pepe
Maswali ya Mara kwa Mara
Mrejesho
ENGLISH
KISWAHILI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mfuko wa Pembejeo
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dira na Dhamira
Utawala
Muundo wa Taasisi
Wajumbe wa Bodi
Wajumbe wa Menejimenti
Machapisho
Sheria ya Mfuko
Mpango Mkakati wa Taasisi
Fomu
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Vipeperushi
Ripoti za Ukaguzi
Mikopo
Mkulima Loan
Mkulima Nafuu Loan
Mikopo kwa Taasisi za Fedha
Kituo cha habari
Hotuba
Taarifa kwa Umma
Maktaba ya Picha
Maktaba ya video
Zabuni
e-Mrejesho
Wasiliana nasi
Previous
Next
Heri ya Mwaka Mpya 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo Bi. Mwanahiba M.Mzee ameripoti katika ofisi za Mfuko wa Pembejeo kwa mara ya kwanza ikiwa ni baada ya mabadiliko yaliyo fanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe Septemba 29, 2023. "Namshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uteuzi huu, Pili nawashukuru sana kwa ukaribisho, nimefurahi pia kwa mapokezi yenu.na ninatarajia kuwa tutazidi kushirikiana ili tuzidi kusukuma mbele kazi za Mfuko ili tuweze kuwa pale ambapo tunatakiwa kuwa" Alisema Bi. Mwanahiba Mzee.
Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba (MP) (wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo (AGITF), Mr. Festo Mhimba (wa pili kushoto), pamoja na wadau wa Kilimo katika Mkutano wa AGRF 2023, Dar es Salaam.
Meneja Uendeshaji wa Mfuko wa Pembejeo (AGITF) Bi. Dotto Nkonya, akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali za Mfuko wa Pembejeo (AGITF) kwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule na Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi, katika ufunguzi wa Kongamano la vijana 2023, kwenye ukumbi wa Jakaya Kikewete Dodoma, Tarehe 07/08/2023.
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa hundi kutoka Mfuko wa Pembejeo (AGITF) kwa vijana wanufaika wa mradi wa BBT, katika mashamba ya Chinangali Dodoma, Tarehe 20/03/2023.
Miundo mbinu ya Umwagiliaji
Omar J. Bakari
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini
Mwanahiba M. Mzee
Mkurugenzi Mtendaji
Aina ya Mikopo
Mikopo Kwa Taasisi
Mkulima Nafuu Loan
Mkulima Loan
Habari
27 Sep 2024
TAARIFA KWA UMMA
30 Jun 2024
TUMEHAMA
30 Jun 2023
Uzinduzi wa Mradi wa BBT
Machapisho
Angalia Zaidi
Mpango Mkakati wa Taasisi 2021/22 - 20...
Sheria ya Mfuko wa Udhamini wa Pembejeo...
Ripoti za Ukaguzi 2022/2023
KIPEPERUSHI
FOMU YA MAOMBI YA MKOPO KWA KIKUNDI
FOMU YA MAOMBI YA MKOPO KWA MKULIMA BINA...
Nifanyaje?
Angalia Zaidi
Nafanyaje kupata mkopo wa Trekta?
Matangazo
Angalia Zaidi
30
Jun 2023
Dawati la Malalamiko
30
Jun 2023
Welcome to BBT Program
30
Jun 2023
Aina za Mikopo na Taratibu zake
Matukio
Angalia Zaidi
30
Jun 2023
Tukio
Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima